Monday, October 7, 2013

HAPPY BIRTHDAY RAISI KIKWETE

       IKIWA NI TAREHE 7 YA MWEZI WA KUMI NI SIKU MUHIMU SANA KWA TANZANIA AMBAPO NI SIKU YA KUZALIWA KWA KIONGOZI MKUBWA WA NCHI MH RAISI JAKAYA KIKWETE.KWA NIABA YA UONGOZI MZIMA WA HABARI24 MEDIA TUNACHUKUA NAFASI HII KUMPONGEZA SANA RAISI KWA KUFIKIA SIKU HII YA LEO AMBAYO KILA MTU ANATAMANI KUIFIKIA.HAPPY BIRTHDAY JK AND GOD BE WITH YOU,KATIKA SHUGHULI ZAKO ZA KUTULETEA MAENDELEO         

No comments: