KATIKA MAANDAMANO HAYO YALIYOISHIA KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE JIJI DSM,
YALISHIRIKISHA WANAFUNZI WA CHUO HICHO, WALIMU PAMOJA NA MKUU WA CHUO
HICHO
AKIZUNGUMZA NA MTANDAO HUU MKUU WA CHUO HICHO, DR. SAIDI NASSORO AMESEMA
LENGO LA KUTEMBEA KWA MAANDAMANO TOKA CHUONI KWAO NI KUHAMASISHA
WANAFUNZI PAMOJA NA WANANCHI KWA UJUMLA ILI WAWEZE KUYAJUA YALE MAZURI
YALIYOKUWA YAKIFANYWA NA MWL.
AMESEMA ENZI ZA MWL. RUSHWA ILIKUWA IKIITWA NI ADUI WA HAKI, NA WATU
WALIWAJIBIKA KUIKAATAA RUSHWA KWA VITENDO HASA PALE ILIPOTUNGWA SHERIA
YA KUMPELEKA YEYOTE YULE ANAYESHIRIKI KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE KWENYE
RUSHWA, KWEND AJELA MIAKA MIWILI PAMOJA NA KUCHAPWA VIBOKO 24, AMBAPO
12 PINDI ANAPOINGIA NA 12 ANAPOTOKA
|
No comments:
Post a Comment