MWILI UKIWA KWENYE GARI |
MWILI HUO UKISHUSHWA KATIKA KMTI HUO |
MTU MMOJA AMBAYE JINA LAKE HALIKUFAHAMIKA MARA MOJA AMEKUTWA AMEJINYONGA NA KAMBA KWENYE MTI MKOANI MOROGORO USIKU WA KUAMKIA LE O,ASKARI WAMEEMA KUWA WAKIWA KATIKA DORIA WAMEKURA MWILI HUO UKININGINIA AMBAPO BADO CHANZO CHA KUJINYONGA HAKIJAJULIKANA |
ASKARI WAKIUTAZAMA MWILI WA MAREHEMU |
No comments:
Post a Comment