Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini dar es salaam kaimu msemaji wa idara ya uhamiaji tanzania bw MBARAKA HAJI BATENGA amesema kuwa kwa kipindi cha mwaka 2012 jumla ya watanzania 1,263 walirejeshwa nchini kutoka mataifa mbalimbali.
Aidha katika kipindi cha january -august mwaka 2013 jumla ya watanzania 715 wamerejeshwa nchini kwa makosa ya kukiuka taratibu za uhamiaji katika nchi walizokwenda hususani africa kusini.
KAIMU MSEMAJI WA IDARA YA UHAMIAJI TANZANIA MBARAKA BATENGA AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM |
BAADHI YA WANAHARI WA MTANZANIA WAKISIKILIZA KWA MAKINI KATIKA MKUTANO HUO |
No comments:
Post a Comment