Friday, October 4, 2013

POLISI DAR YAENDELEA KUWAKALIA KOONI WAHALIFU,SASA BASTOLA NA NGUO ZA JESHI ZAZIDI KUKAMATWA

BILA KUSAHAU KOFIA YA ASKARI MAGEREZA
              Jeshi la polisi kanda maalum dar es salaam limeendelea na kampeni yake ya kuhakikisha jiji la dar es salaam linakuwa safi kwa kusafisha wahalifu ambapo sasa limefanikiwa kukamata silaha mbalimbali pamoja na nguo za jeshi la wananchi tanzania ambazo hutumiwa na wahalifu katika kufanya uhalifu wao

              Akizungumza na waanddishi wa habari leo jijini dar es salaam kamishna wa polisi kanda maalum ya dar es salaam SULEMAN KOVA amesemakuwa operation hiyo inaendakwa mafanikio makubwa ambapo ameongezakuwa jeshi hilo litahakikisha kuwa jiji la dar es salaam litakuwa salama.

             Baadhi ya vitu vilivyokamatwa najeshi hilo ni silaha tatu,aina ya browing patientdeport cloc na risasi kumi na tanona watuhumiwa watatu, pamoja na nguo za jeshi ambazo mtuhumiwa mmoja amekamatwa
TUMEKAMATA SILAHA MBALIMBALI KAM,A HIZI HAPA--MANENO YA KAMISHNA KOVA HAYO
BAADHI YA SARE ZA JESHI AMBAZOJESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM LIMEZIKAMATA JJINI DAR ES SALAAM

WAANDISHI WA HABARI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI NCHINI WAKISIKILIZA KWA MAKINI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

KAMISHNA KOVA AKIFAFANUA JAMBO LEO MAPEMA

No comments: