Thursday, October 3, 2013

BREAKING NEWZZ--NDEGE YAANGUKA GONGO LA MBTO MUDA HUU

PICHA NA MAKTABA  YETU
HABARI AMBAZO TUMEZIPATA KATIKA CHUMBA CHETU CHA HABARI I KUWA NDEGE NDOGO KAMPUNI YA ASLUM IMEANGUKA ENEO LA GONGO LA MBOTO DSM IKIWA KWENYE MAFUNZO YA VITENDO KWA MWANAFUNZI MMOJA WA URUBANI,NDEGE HIYO ILIKUWA NA RUBANI MMOJA NA MWANAFUNZI MMOJA.             

 HABARI ZAIDI ENDELEA KUFWATILIA HAPA UTAJUA


No comments: