Thursday, October 10, 2013

MWIZI ANUSURIKA KIPIGO SHEKILANGO, NI BAADA YA KUTAKA KUIIBIA KAMPUNI YA MAFUTA YA LAKE OIL, HIZI HAPA PICHA ZA TUKIO ZIMA

WALINZI WA SHELI YA MAFUTA YA LAKE OIL  SHEKILANGO WAKIWA NA MTUMIWA WA WIZI KATIKA SHELI HIYO, MWIZI HUYO ALIKIMBIZWA KATIKA SELO NDOGO YA SHELI HIYO KWA MAHOJIANO ZAIDI

MWIZI HUYO AKIPELEKWA SELO NDOGO YA KAMPUNI YA LAKE OIL, HATA HIVYO MTUHUMIWA HUYO ALIKAMATWA KUFUATIA KUWAAMBIA WAALIFU WAKIMBIE ILI WASIKAMATWE NA ASKARI HAO,

MTUMIWA WA WIZI WA MAFUTA KATIKA SHELI HIYO AKIJITETEA KWA MWARABU WA SHELI HIYO, LINALOONEKANA NI KONTENA AMBALO VIBAKA NDIMO ILIMO SERO NDOGO YA KAMPUNI HIYO

RAFIKI WA MTUHUMIWA HUYO WAKIMSIHI MWARABU AMWACHIE MWENZAO, HATA HIVYO MWARABU AMESHILIA UZI WAKE KUMPELEKA MTUHUMIWA HUYO KITUO CHA POLIS URAFIKI





CHANZO--http://fullhabari.blogspot.com/          

No comments: