PICHA YA PAMOJA YA WASHIRIKI MBALIMBALI WALIOKUWEPO HAPO,KUSHOTO NI MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH SAID MECK SADICK KATIKATI NI MGENI RASMI MAKAMU WA RAISI DK MOHAMED KHARIB BILALI NA ASKOFU MALASUSA |
SASA TUNAKATA UTEPE ISHARA YA UZINDUZI RASMI WA BENKI HIYO YA MAENDELEO AMBAYO INAMILIKIWA NA KKKT IPO MAENEO YA POSTA KARIBU NA KANISA LA AZANIA FRONT JIJINI DAR ES SALAAM |
MAKAMU WA RAISI WA JAMHURI YA MUNGANO WA TANZANIA NDIYE ALIKUWA MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI HUO AMBAPO AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA HIYO AMEWASHUKURU SANA WAANZILISHI WA BENKI HIYO PAMOJA NA WANAHISA WAKE WOTE KWA KUANZISHA BENK HIYO JAMBO AMBALO LITAKUZA AJIRA TANZXANIA NA HUDUMA ZA KIBENKI KUENDELEA KUKUA KWA KASI SANA NCHINI,AIDHA AMEWATAKA WATANZANIA KUTUMIA FURSA ZA KUBENKI ZINAZOANZISHWA KWA SASA AMBAPO AMESEMA KUWA KUNA BENKI ZAIDI YA HAMSINI KWA SASA AMBAPO AMEWATAKA KUZITUMIA KUJIINGIZIA KIPATO |
ASKOFU MKUU WA KKKT MALASUSA AKIZUNGUMZA KATIKA UZINDUZI HUO ULIOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM MUDA MFUPI ULIOPITA LEO |
WAGENI MBALIMBALI WALIOALIKWA WAKIWA KATIKA UFUNGUZI HUO |
No comments:
Post a Comment