Monday, November 11, 2013

PATA NAFASI YA KUONA UZINDUZI WA ALBAM MPYA YA KWAYA YA KANISA LA EAGT YOMBO KISIWANI JIJINI DAR ES SALAAM,

MGENI RAMI AMBAYE ALIMUWAKILISHA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM MH RAMADHAN MADABIDA AMBAYE ALIWAKILISHWA NA WILLE MUHAVILE
HII NDIO KWAYA YA KANISA HILO LA EAGT YOMBO KISIWANI
MWAKILISHI WA MGENI RASMI AKIKATA UTEPE KUASHIRIA KUWA AMEZINDUA HIYO ALBAM

UMATI WA WATU
MCHUMHAJI WA KANISA HILOAKIOMBEA ALBAM HIYO

No comments: