Wednesday, November 27, 2013

BREAKING NEWZZ--KINACHOENDELEA TCRA ----TCRA YATOA UDHAMINI WA MASOMO KWA WANAFUNZI TISA MUDA HUU

TUNAPOKEA CHETI CHA UDHAMINI

WANAFUNZI HAO PIA WALIPATA NAFASI YA KUPEWA COMPUTER KWA AJILI YA KUSOMEA
          Mamlaka ya mawaliano tanzania TCRA leo imetoa udhamini wa masomo kwa jumla ya wanafuzi tisa wa masomo ya mawasiliano katika vyuo mbalimbali nchini tanzania ambapo wametakiwa kusoma kwa bidii ili kulikomboa taifa la tanzania.
MMOJA KATI YA WANAFUNZI HAO AKITOA SHUKRANI KWA MAMLAKA YA MAWASILANO TANZANIA KWA UDHAMINI HUO WA MASOMO
HAWA NDIO WANAFUZI WALIOPATA UDHAMINI WA MASOMO KUTOKA TCRA LEO
wanafunzi hao wamepatikana kwa vigezo vya kufanya vizuri sana katika masomo mbalombali katika vyuo na shule walizosoma

No comments: