Wednesday, November 6, 2013

FURSA--NAFASI YA KAZI HII HAPA

    KAMA WEWE N I MKAZI WA MKOA WOWOTE NJE YA DAR ES SALAAM NA UNA UTAALAM WA KUPIGA PICHA ZA MATUKIO YANI MWANAHABARI MZURI SASA MUDA NI WAKO WA KUJIPATIA KIPATO KUPITIA HABARI24 BLOG,TUNAHITAJI WAWAKILISHI WETU KUTOKA MIKOA MINGI YA TANZANIA HASA HASA HUKO VIJIJINI,KAMA UNA UWEZO HUO TAFADHALI PIGA HII NAMBA ATAPOKEA MKURUGENZI MWENYEWE.

0712098645 AU EMAIL-mteiexaud1@gmail.com

No comments: