| RAISI MPYA WA TFF AKIWASILI KATIKA VIWANJA VYA SHIRIKISHO HILO KWA FURAHA NA MWANAE KWA AJILI YA KUKABIDHIWA OFISI RASMI |
| RAIS MSTAAFU WA TFF TENGA AKIWASALIMIA BAADHI YA WANAHABARI BAADA YA KUWASILI LEO KATIKA MAKAO MAKUU YA TFF |
| KARIBU SANA MH RAISI MPYA |
| GEOFREY NYANGE KABURU AMBAYE SASA NI MJUMBE WA TFF AKIWA KATIKA HAFLA HIYO |
| UMATI MKUBWA WA WANAHABARI NA WAJUMBE WENGINE WAKISIKILIZA KWA MAKINI |
| NAKUKABIDHI OFISI SASA RASMI MH RAISI |
| MALINZI AMEPATA NAFASI YA KUZUNGUMZA AMBAPO AMEAHIDI MAKUBWA SANA KATIKA SOKA LA TANZANIA |
| SASA BWANA MIMI NAONDOKA NAKUACHIA OFISI YAKO BWANA MKUBWA MIMI NAENDA KUPUMZIKA NYUMBANI E,HAPO TENGA AKIAGA KUONDOKA KATIKA OFISI ZAKE HIZO ZA ZAMANI |
No comments:
Post a Comment