Tuesday, December 17, 2013

KUELEKEA MWISHO WA MWAKA KAMANDA MPINGA ATOA ONYO KWA MADEREVA

KAMANDA WA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI DCP MOHAMED MPINGA AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI MAPEMA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.AMBAPOAMEWATAKA MADEREVA WA MABASI YAENDAYO MIKOANI NA WALE WA HAPA DAR ES SALAAM KUWA MAKINI KUHAKIKISHA WANATII SHERIA ZA USALAMA BARA BARANI KATIKA KIPINDI HIKI CHA MWISHO WA MWAKA ILI KUEPUKA AJALI ZA MARA KWA AMARA AMBAZO HUWA ZINATOKEA KIPIONDI KAMA HIKI,AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI AMESEMA KUWA NI LAZIMA MADEREVA WAHAKIKISHE MAMBO YAFUATAYO YANAFWATWA IKIWEMO KUTOJAZA ABIRIA KUZIDI KIPIMO,KWA SAFARI NDEFU KUWEPO KWA MADEREVA WAWILI,MAGARI KUTOSAFIRI ZAIDI YA SAA SITA USIKU,KUHAKIKISHA MAGARI YANA MIKANDA,PAMOJA NA MAMBO MENGINE AMBAYO NI KINYUME NA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.
WANAHABARI WAKISIKILIZA KWA MAKINI

No comments: