Tuesday, December 17, 2013

TANZANIA NA KANADA ZASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO MUDA HUU KATIKA OFISI ZA WIZARA YA UCHUKUZI

BALOZI WA KANADA NCHINI TANZANIA ALEXENDER LEVEQUE ALKISAIN MKATABA WA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO BAINA YA NCHI YAKE NA TANZANIA MUDA HUU KATIKA OFISI ZA WIZARA YA UCHUKUZI JIJUINI DAR ES SALAAM
            Wizara ya uchukuzi tanzania na shirika la biashara la nchini kanada leo wameseini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano baina ya nchi hizo mbili katika secta mbalimbali kubwa zaidi ikiwa ni katika maswla ya reli na biashara. akizungumzana wananahabari jijini dar es salaam baada kusaini makubaliano hayo katibu mkuu wa wizara ya uchukuzi bi  MONICA MWAMUNYANGE amesema kuwa tanzania imekuwa na ushirikiani wa muda mrefu na nchi ya kanada katika maswala ya reli hivyo mkataba huo ni kwa ajili ya kukuza na kuendeleza makubaliano hayo ya siku nyingi.
TUNAKABIDHIANA--KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI TANZANIA BI MONICA MWAMUNYANGE AKIKABIDHIANA NABALOZI WA KANADA NCHINI MIKATABA WALIYOSAINI MUDA MFUPI ULIOPITA

No comments: