Tuesday, January 7, 2014

CHADEMA CHALI,ZITTO AIBUKA KIDEDEA,TUNDU LISSU ASEMA ZITTO ATABAKI KUWA MBUNGE WA MAHAKAMA,ASEMA HANA UWEZO WA KUINGIA KATIKA KIKAKO CHOCHOTE CHA CHAMA,PICHA ZOTE HIZI HAPA

           Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetoa hukumu ya kesi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ambapo imempa kinga ya muda kutojadiliwa uanachama wake na Kamati Kuu ya Chadema!
MFUASI WA CHADEMA AKIONYESHA HISIA ZAKE

NDANI YA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA LEO ZITTO AKIZUKILIZA KWA MAKINI

MWANANSHERIA WA CHADEMA AKITOKA NJE YA MAHAKAMA


WAKILI WA ZITTO AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI
TUNDU LISSU AKIWATULIZA WANANCHAMA WA CHADEMA WALIOKUWA NJE YA MAHAKAMA KWA KUWAAMBIA WATULIE KWANI MAPAMBANO NDO KWANZA YANAANZA


WANANCHAMA

No comments: