UMATI WA WAKAZI WA MBAGALA NA VIIUNGA VYAKE WALIOJITOKEZA KWA WINGI KATIKA UZINDUZI HUO |
Akizungumzana wakati wa uzinduzi huo meneja wa uendeshaji wa huduma kwa wateja tigo bw ELIUD RUGEMALIRA amesema kuwa tawi hilo jipya ni sehemu ya mkakati wa kampuni hiyo wa kufikisha huduma zake karibu zaidi na wateja wake.
Amesema kuwa duka hilo linatoa huduma nyingi maalumu kama uuzaji wa bidhaa mbalimbali,kama simu za kisasa,laini za tigo na vifaa vingine vingi,pamoja na huduma nyingine kama kuunganishwa katika internent,usajili wa lain,tigo pesa,nahuduma maalum za simu za kisasa
BURUDANI MTINDO MMOJA HAPANI WASANII WAKIFANYA VITU VYAO |
MENEJA UENDESHAJI WA HUDUMA KWA WATEJA TIGO BW ELIUD RUGEMALIRA AKIKATA UTEPE KUFUNMGUA DUKA HILO |
HUDUMA ZIMEANZA MAPEMA BAADA YA KUFUNGULIWA |
WANANCHI WAKIWA WAMEPANGA FOLENI KUPATA HUDUMA NZURI ZA TIGO BAADA TU YA DUKAHILO KUFUNGULIWA |
No comments:
Post a Comment