Habari zilizotufikia hivi sasa zinasema kituo
cha kuuzia mafuta cha victoria petrol station kinaungua mda huu,habari
za haraka inasemeka nyuma ya kituo hiko kuna moto unawaka na zimamoto
washafika eneo la tukio kusaidia kuzima moto huo,habari kamili itakujia
No comments:
Post a Comment