breaking newzzz---ASKARI POLISI WATANO WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA JANA USIKU KWA KUGONGANA NA BASI DODOMA.
Ajali
mbaya ya kusikitisha imetokea Jana usiku majira ya saa nane ambapo gari ya ya
polisi iliyokuwa inatoka Dodoma kwenye sherehe ya polisi iliyokuwa inafanyika
katika ukumbi wa mipango.
Gari
hiyo iliyokuwa imebeba polisi na ilikuwa inaelekea kongwa imegongana na basi ya
Mohamedi katika eneo ambalo ni nje kidogo ya mji (Mitumba) ambapo wanawake
wawili na wanaume wa tatu wamefariki papo hapo Ambao
No comments:
Post a Comment