DEREVA wa lori la mafuta, Ally Hassan
Ngoma (62) mkazi wa Korogwe amefariki dunia papo hapo baada ya kutokea
ajali iliyohusisha gari tatu ikiwemo basi ndogo, lori na basi kubwa
kugongana uso kwa uso na kusababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi 38
katika ajali iliyotokea eneo la Bwawani majira ya saa 4:30 asubuhi
mkoani Pwani.
|
No comments:
Post a Comment