Sunday, March 9, 2014

HII NDIO HABARI MBAYA INAYOWASONONESHA MASHABIKI WA YANGA MUDA HUU

HABARI AMBAZO ZIMEIFIKIA MTANDAO HUU KUTOKA NCHINI MISRI NI KWAMBA KIUNGO WA YANGA HARUNA NIYONZIMA ATAUKOSA MCHEZO WA LEO DHIDI YA ALAHAL BAADA YA KUAMKA AKISUMBULIWA NA MALARIA NA MADACTARI WA YANGA WAMEDHIBITISHA KUWA HATAWEZA KUCHEZA MCHEZO WA LEO,KOCHA WA YANGA AMESEMA KUWA HAISUMBUI SANA KWANI YANGA VIUNGO NI WENGI JAPO NI PENGO KUMKOSA MCHEZAJI HUYO

No comments: