Sunday, March 9, 2014

YANGA NA ALAHAL BADO BILA BILA--YANGA YAPEKWA UWANJANI NA ESCOT YA JESHI.CHEKI HAPA

VIONGOZI NA MASHABIKI WA YANGA WAKIWA NA WANAJESHI WANAOSINDIKIZA MSAFARA WA YANGA KABLA YA KUONDOKA KWENDA UWANJANI


KATABARO AKIWA NA MMOJA WA WANAJESHI HAO

MDAU WA YANGA AKIWA NA SOJA HUYO

BASI HILO LA YANGA, TAYARI KUONDOKA KWENDA UWANJANI

No comments: