I
Mh. Samia Suluhu Hassan ameshinda uchaguzi wa kuwa makamu mwenyekiti wa
kudumu wa bunge maalum la katiba kwa kupata kura 390 dhidi ya Amina
Abdallah Amour aliyepata kura 126. Jumla ya wapiga kura leo walikuwa 523 na kura zilizoharibika zilikuwa kura 7 |
No comments:
Post a Comment