FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA
CHAMA CHA WANANCHI –CUF DHIDI YAMATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA CHAMA CHA
DEMOKRASIA NA MAENDELEO -CHADEMA13.03.2014
Mimi FABIAN L. SKAUKI, mgombea
ubunge wa uchaguzi mdogo jimbo la CHALINZE kwa Ticket ya THE CIVIC UNITED FRONT
(CUF) ninamwekea Pingamizi mgombea wa chama cha demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kwamba amepoteza sifa za kuwa mgombea kwa sababu zifuatazo.
1. Ndugu MATHAYO. M. TORONGEY
amejaza Taarifa za uongo kwenye Fomu yake kwamba kazi anayoifanya ni BIASHARA.
Sio kweli, kwa sababu hajaweka vielelezo vya yeye kufanya hiyo kazi.
Hajulikani anafanya kazi gani.
Sio kweli, kwa sababu hajaweka vielelezo vya yeye kufanya hiyo kazi.
Hajulikani anafanya kazi gani.
2. Ndugu MATHAYO .M. TORONGEY
amejaza katika fomu kwamba anajua kusoma na kuandika Kiswahili na kiingereza.
Taarifa hizi ni za uongo, mgombea huyu hajui kusoma wala
kuandika Kiswahili wala kiingereza, na kwamba amedanganya na amepoteza sifa za kuwa mgombea.
Taarifa hizi ni za uongo, mgombea huyu hajui kusoma wala
kuandika Kiswahili wala kiingereza, na kwamba amedanganya na amepoteza sifa za kuwa mgombea.
3. Ndugu MATHAYO .M.TORONGEY
amedanganya kwa kughushi/kufoji sahihi za wadhamini,ambao amewaorodhesha kwenye
fomu ya kuomba kuthibitishwa kuwa mgombea.
Ambapo katika fomu hizo wadhamini wote sahihi zao zimefojiwa na hazifanani na zile zilizokuwepo kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na kwamba sahihi zote hizi zimesainiwa na mtu mmoja ambaye sio muhusika.
Hivyo anapoteza sifa ya kuendelea kuwa mgombea.

4. Ndugu MATHAYO.M.TORONGEY
ameshindwa kutimiza mahitaji ya kisheria ya kuwa na wadhamini wasiopungua 25,
badala yake amedhaminiwa na wadhamini 28 ambao kati yao wadhamini 7 sio wapiga
kura halali wa jimbo la CHALINZE, na kwamba Taarifa zao na namba zilizojazwa
hazifanani.
Hivyo anabakiwa na wadhamini halali 21 ambao kisheria hawatoshi kutimiza matakwa ya kisheria.
Majina ya wadhamini hao ambao hawakidhi matakwa ya kisheria na namba zao ni JINA LA MDHAMINI NAMBA YA KADI KURA 1. HABIBU ALLY SAIDI * 16886275*2. MOHAMMED RAMADHANI *30376567*3. ABDULKADIR ALLY *49264905*4. SHABANI SULEYMAN *16984045*5. JUMA MRISHO *48759563*6. RAJABU ALLY *16872368*7. MANENO MIRAJI *16872059*

Wananchi wenye namba na majina hayo hapo
juu waliojazwa kama wadhamini kuanzia namba 1 hadi 7 kwenye fomu yake hawana
sifa za kupiga kura kwenye maeneo ambayo wamejazwa wanatokea.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba idadi halali ya wadhamini wanaobaki ukiwaondoa hao saba watabaki 21, hawakizi vigezo vya kuwa wadhamini.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba idadi halali ya wadhamini wanaobaki ukiwaondoa hao saba watabaki 21, hawakizi vigezo vya kuwa wadhamini.
5. Ndugu MATHAYO.M.TORONGEY amedanganya Uraia wake, na kwamba yeye si
Mtanzania wa kuzaliwa ndio maana hana vielelezo halali vinavyohusu uraia wake.
Hivyo anakosa sifa ya kuwa mgombea.
Hivyo ninaomba Tume ya Uchaguzi kutengua uteuzi wa mgombea wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ndugu MATHAYO.M.TORONGEY kwa kuwa anakosa sifa za yeye kuendelea kuwa mgombea.
Wako katika ujenzi wa Taifa

FABIAN LEONARD
SKAUKI ……………………………………………………..
MGOMBEA UBUNGE
JIMBO LA CHALINZE.
THE CIVIC UNITED FRONT
+255 786 189 070/+255 754 849 450
SKAUKI ……………………………………………………..
MGOMBEA UBUNGE
JIMBO LA CHALINZE.
THE CIVIC UNITED FRONT
+255 786 189 070/+255 754 849 450
No comments:
Post a Comment