Wananchi wakinyanyua mikono yao juujuu kuashiria kumkubali mgimwa
Katibu
wa CCM mkoa wa Iringa . Hassan Mtenga wa pili kutoka kushoto na kutibu
wa CCM mkoa wa Mtwara Bw. Akwilombe wakiteta jambo wakati wa mkutano wa
kampeni katika kijiji cha Ilandutwa kulia ni Meja Mbuta meneja wa
kampeni hizo na kushoto ni Mwampamba kada CCM kutoka UVCCM.Wananchi wakirejea nyumbani mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo.Wananchi wakinyanyua mikono yao juu kumuunga mkono Bw. Godfrey Mgimwa,Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano wa kampeni katika kijiji cha Itwaga.Diwani wa kata ya Mgama Bw. Denis LupCala akipiga magoti kumuombea kura mgombea wa CCM Bw. Godfrye Mgimwa.Msanii Dokii akitoa burudaniMgombea
ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey
Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ilandutwa kata ya Mgama
Iringa vijijini akiendelea na mikutano mbalimbali ya kampeni ambapo
amewaomba wananchi wa vijiji hivyo kumkopesha imani yao na kumpa kura
za ndiyo siku ya machi 16 jumapili ijayo ili aweze kuwalipa maendeleo
katika jimbo hilo.
Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgombea ubunge huyo.
No comments:
Post a Comment