Afisa Mauzo wa Tigo Bw. Moses Simon (kushoto) akisaidiwa kuchangia damu
na wakala wa uchangiaji damu kutoka Hifadhi ya Taifa ya Damu Tanzania
Bw. Revocatus Ntenga. Wafanyakazi 33 wa Tigo waliweza kuchangia katika
mpango huu wa Damu Salama, zoezi liliofanyika katika ofisi za mauzo ya
Tigo mjini Dodoma juzi. |
No comments:
Post a Comment