Wednesday, March 26, 2014

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UJERUMANI JANA ALIWEKA REKOD YAKE TANZANIA,AFANYA ZIARA YA MASAA MATANO TANZANIA KISHA KURUDI KWAO,CHEKI HAPA

gm2
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Bernard Membe (kulia) akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Dkt. Frank – Walter Steinmeier mara baada ya kuwasili nchini  jana jijini Dar es Salaam
gm1
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Dkt. Frank – Walter Steinmeier akishuka katika ndege mara baada ya kuwasili nchini katika uwanja wa ndege Terminal I jijini Dar es Salaam Jana.Waziri huyo alikuja nchini kufanya ziara ya siku moja.

.
gm3
Mwisho alikutana na raisi wa tanzania mh dk JAKAYA MRISHO KIKWETE ikulu 
gm4
Waziri wa Maliasili na Utalii wa Lazaro Nyarandu akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Dkt. Frank – Walter Steinmeier(kulia)  kuhusu masuala ya ujangili na utalii. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Frankfurt Zoological Society Dkt. Christof Schenck

No comments: