Vilabu
vya Azam FC na Yanga SC leo vimeendelea kukabana koo katika mbio za
ubingwa wa ligi kuu Vodacom baada ya vyote viwili kupata ushindi kwenye
michezo yao waliyokuwa wakicheza leo hii.
Azam FC ikiwa katika dimba la Mkwakwani ilikuwa ikicheza na Mgambo JKT na matokeo ni kwamba wamefanikiwa kushinda kwa magoli 2-0.
Magoli ya Azam yalifungwa na Brian Omony na John Bocco Adebayor.
Kwa upande wa Yanga ambao leo walikuwa wakicheza na Tanzania Prisons kutoka Mbeya katika uwanja wa taifa – matokeo ni Yanga wameshinda 5-0.
Magoli ya Yanga yalifungwa na Emmanuel Okwi, Mrisho Ngassa, Hamis Kiiza alifunga mawili na nahodha Nadir Haroub Cannavaro aliyefunga kwa penati.

No comments:
Post a Comment