Timu ya azam fc ya ligi kuu tanzania bara leo hii muda huu imejitangaza
kuwa bingwa mpya wa ligi kuu ya tanzania bara baada ya kuichapa bila
huruma timu ya mbeya city magoli mawili kwa moja magoli yaliyofungwa na
mwaikimba na john boko huku goli moja la mbeya city likifungwa na
mwagame yeya.kwa matokeo hayo hakuna timi ambayo inaweza kuifikia azam
tena hata kama itafungwa mchezo wake wa mwisho, |
No comments:
Post a Comment