Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ameonesha hati ya muungano wa Tanzania, kati ya nchi ya Zanzibar na Tanganyika. Balozi Sefue amewahakikishia Watanzania kuwa nyaraka hizi muhimu ziko salama ila hakuna haja ya kujua ziko wapi. Balozi Sefue amesema wanaosema kuwa hati hazipo na sahihi zake ni za kughushiwa, ni waongo.
Mambo 11 waliyokubaliana viongozi, wakati Zanzibar na Tanganyika zinaungana pia yameonekana katika hati ya Muungano.
|
No comments:
Post a Comment