Mabingwa wapya wa Ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2013/2014 wakitua ktk uwanja wa ndege jijini dar es salaam wakitokea mbeya baada ya kutoa kipigo kwa mbeya city cha magoli mawili kwa moja |
Msafara wa mabingwa wa Tanzania Azam FC baada ya kutua kwa ndege wakitokea mkoani Mbeya walikoifunga MCC 2-1 |
No comments:
Post a Comment