Matokeo
ya Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze yametangazwa Chama cha Mapinduzi
CCM kimepata jumla ya kura 20812,na Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA),kimepata idadi ya jumla kura 2828 na chama cha Wananchi CUF
kimepata kura 474.
Hivyo chama cha Mapinduzi CCM kimeshinda Kiti cha Ubunge Jimbo la Chalinze
No comments:
Post a Comment