Kama vile ambavyo Serengeti shall never die vivyo hivyo CHADEMA SHALL NEVER DIE.
HATUTAKATISHWA TAMAA NA WACHACHE ,WENYE NJAA KALI, HATA WAMEKUWA WAPOFU WAKUSALITI NAFSI ZAO.
HATUTAKATISHWA TAMAA NA WACHACHE ,WENYE NJAA KALI, HATA WAMEKUWA WAPOFU WAKUSALITI NAFSI ZAO.
- 24 people like this.
- Sasa matokeo ya chalinze yanahusiana vipi na nilichoandika hapa. CCM imeshinda unadhani umemkomoa msigwa au chadema ?kwa kuishangilia CCM na kuisema vibaya Chadema .humkomoi msigwa ,Mbowe Slaa wala chadema , unajikomoa mwenyewe.
- Victor Meena and 66 others like this.
No comments:
Post a Comment