Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu tanzania bi HELLEN KIJO BI SIMBA akizungumza katika uzinduzi wa report ya haki za binadamu tanzania ya mwaka 2013 |
Mgeni rasmi ambaye ni mkurugenzi wa upepelezi makosa ya jinai tanzania ISAYA MNGULU ambaye amemwakilisha IGP ERNEST MANGU kizungumza katika uzinduzi huo |
Mgeni rasmi ambaye ni mkurugenzi wa upepelezi makosa ya jinai tanzania ISAYA MNGULU ambaye amemwakilisha IGP akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi report ya kitabu hicho |
Mgeni rasmi katika hafla hiyo ISAYA MNGULU ambaye ni mkurugenzi wa upepelezi makosa ya jinai akimkabidhi mkuruhenzi wa LHRC kitabu cha report hiyo baada ya kukizindua nrasmi |
Washiriki waliohudhuria hafla hiyo fupi ya kuzindua report hiyo makao makuu ya LHRC mapema leo |
Muonekano wa report hiyo kwa nje |
No comments:
Post a Comment