Rais
wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nahodha wa Azam FC, John Bocco jioni
hii baada ya kuifunga bao 1-0 JKT Ruvu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi,
Dar es Salaam.PICHA ZOTE KWA HISANI YA BIN ZUBEIR BLOG
|
No comments:
Post a Comment