


Makamu wa Rais Dk Mohamed Bilal akiwasili nyumbani kwa marehemu Muhidini Gurumo, Makubuli, Ubung, Dar leo asubuhi.
Makamu wa Rais, Dk Bilal (Mwenye suti) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana wakiwa msibani leo.
Wawakilishi
wa Kampuni ya Global. Elvan Stambuni ( kwa kwanza kushito) na Abdallah
Mrisho (wa tatu kushoto) wakiwa na wasanii wa filamu na waombolezaji
wengine msibani leo asubuhi.
Msanii
wa Filamu za Bongo. Jacob Steveb’ JB’ akihojiwa na kituo kimoja cha
televisheni kabla ya mwili wa marehemu kusafirishwa kwenya Masaki,
Kisarawe kwa mazishi.
Saidi
Mabela (aliyevaa kanzu) ambaye ameachiwa jukumu la kuendesha Bendi ya
Msondo aliyoiasisi marehemu Gurumo, akiwa msibani leo, kushoto ni Abdul
Salvado, mwanamuziki mpapasa kinada.
Mamia ya watu wakisindikiza jeneza lenye mwili wa marehemu kwenye gari (halipo pichani).
(Picha ya Andrew Carlos/GPL)
No comments:
Post a Comment