| Hii ndio stage ambayo itatu,ika kumpata mrembo huyo usiku huu |
| Wanafunzi mbalimbali wakiwa wanajiandaa kwa ajili ya shindalo hilo usiku huu |
| Wanafunzi wa IFM wakiwa ndani ya ukumbi muda huu wakijiandaa kwa ajili ya kumtafuta mrembo wao |
| K--MONDO band wanatoa burudani muda huu |
| warembo wa IFM wakiwa katika ukumbi wa golden jubelee usiku huu kwa ajili ya shindano la miss IFM |
No comments:
Post a Comment