| Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa Marehemu,
Frossie Chiyaonga, aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania,
aliyefariki ghafla Ijumaa ya wiki iliyopita, wakati wa shughuli za kuaga
mwili wa marehemu zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere,
jijini Dar es Salaam, leo Mei 12, 2014. Picha na OMR |
No comments:
Post a Comment