Mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora Kapteni Mstaafu George Mkuchika akizungumza kuzindua Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam. |
Watumishi kutoka Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa wakipita mbele ya meza Kuu wakati wa Maandamano Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyoanza leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam. |
Brass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam. |
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Hab Mkwizu akizungumza wakati akimkaribisha Mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam. |
No comments:
Post a Comment