Wednesday, June 18, 2014

MAKAMU WA RAIS MOHAMED GHALIB BILAL ATEMBELEA DUBAI SPORTS CITY LEO


Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilal, leo ametembelea mradi mpya wa Dubai Sports City, na kujionea ramani ya mradi huo mkubwa wa kijiji cha michezo Dubai. Kulia kwa Makamu wa Rais, ni Bwana Mohamed Sharif, Mtanzania ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Dubai Sports City. Kulia mwa picha ni Balozi Mbarouk, na kushoto mwa picha ni Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe. Omar Mjenga.

No comments: