samahani kwa picha hizi sio nzuri sana--AJALI ILIYOTOKEA JANA JIJINI DAR ES SALAAM.PICHA ZAIDI ZIKO HAPA
Samahani picha hizi ni tukio la kweli jana dar es salaam,kama ungependa kuziona naomba uendelee kubonyeza chini,sio nzuri kidogo ila ndio hali halisi,tunaomba madereva na wadau wa usafiri tuwe makini ili tuepuke majanga kama haya.HABARI24 blog inwapa pole wale wote waliohusika na ajali hii
No comments:
Post a Comment