Monday, June 2, 2014

YANAYOJIRI KIGOMA KATIKA MAZISHI YA MAMA YAKE ZITTO

Mwili wa marehemu Shida Salum ukiombewa.
Viongozi mbalimbali wakishiriki kuombea mwili wa marehemu.
Zitto Kabwe akiungana na waombolezaji kuombea mwili wa mama yake.
Mwili wa marehemu ulipowasili nyumbani.
Mwili wa marehemu Shida Salum ukishushwa baada ya kuwasili nyumbani mchana wa leo.


No comments: