Mhasibu kutoka Ofisi ya Mhasibu Mkuu wa Serikali Martha Mgella (kulia) akitoa ufafanuzi kwa wateja waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha leo jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.
Afisa Masoko wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF) Elivine Assey (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa mtejajuu ya utaratibu wa kujiunga na Mfuko huo leo jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.
Sunday, July 6, 2014
MAONESHO YA 38 YA KIMATAIFA YA BIASHARA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment