| Huu ndio Uongozi mpya wa Arusha Mjini ulio Chaguliwa |
| Mh Freeman Mbowe akimkabidhi Katibu (Arusha Mjini) aliye maliza muda wake ndugu Martine Sarungi cheti cha Pongezi kwa kufanikisha Programu ya CHADEMA MSINGI |
| Katibu wa Kanda Ndugu Amani Golugwa akiwaelekeza wajumbe wa mkutano mkuu taratibu na kanuni za Uchaguzi |
| Mh Freeman Mbowe akimkabidhi Jenipher Kauseria cheti cha Pongezi kwa kufanikisha Programu ya CHADEMA MSINGI |
|
| Mh Freeman Mbowe akiongea na wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Arusha Mjini,amewaeleza umuhimu wa kufanya uchaguzi sahihi wa viongozi wa ngazi ya Jimbo |
| Wajumbe wa mkutano mkuu wa Arusha Mjini |
| Mwenyekiti Mpya wa Arusha Mjini MAGOMA DERICK MAGOMA Akishangilia ushindi alioupata katika uchaguzi wa kidemokrasia |
| Mwenyekiti Mpya wa Arusha Mjini MAGOMA DERICK MAGOMA Akishangilia ushindi alioupata katika uchaguzi wa kidemokrasia |
No comments:
Post a Comment