Saturday, July 5, 2014

TANZANIA KUANZA KUTUMIA MIA TANO YA SARAFU,ITAZAME HAPA

Sarafu ya Shilingi Mia Tano ambayo Benki Kuu ya Tanzania inatarajia kuitoa hivi karibuni. Noti ya Mia Tano maarufu kama  itaendelea kutumika, ila itaondolewa taratibu katika mzunguko, kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki na Sarafu wa BoT, Bw Emmanuel Boaz, katika mahojiano maalum na mmoja kati ya waandishi wa tanzania  kwenye banda la Benki Kuu katika Maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam.

No comments: