Manchester United wameshinda kinyang’anyiro cha kumsajili Radamel Falcao kutoka Monaco kwa mkopo kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Mshambuliaji huyo ataigharimu Old Trafford pauni milioni 12, akiungana na Angel Di Maria, Dalley Blind, Luke Shaw, Ander Herrera na Marcos Rojo waliojiunga na kocha Louis van Gaal klabuni hapo.
Raia huyo wa Colombia, 28 amekubaliana na masharti binafsi – na inaripotiwa kuwa atalipwa pauni 200,000 kwa wiki huku ikiaminika akiwa njiani kwenda Manchester kwa ndege binafsi.
No comments:
Post a Comment