MAKOMANDO WA NEPAL WAONYESHA KAMPUNI ILIYOWALETA,TIZAMA HAPA
Komando kutoka nchini NEPAL,SHIDHEE BAHADURKATUWAL akionyesha nyumba ya mnyarwanda aliyokuwa akiilinda kupitia kampuni ya ADVANCED SECURITY karibu na uwanja wandege wa mwalimu nyerere jijini Dar es salaam
Maafisa wa uhamiaji Dar es salaam wakimhoji mama wa kitanzania ambaye ameolewa na mnyarwanda huyo ambao kwa pamoja nyumba yao ilikuwa ikilindwa na makomando hao kutoka jeshi la nchi ya NEPAL
Hapa wakiwa ndani ya sare zao za kazi za kampuni hiyo ya ulinzi ya ADVANCED SECURITY ambayo inatuhumiwa kuwaingiza wanajeshi hao wa jeshi la NEPAL kinyume na sheria kwa lengo la kuwapatia kazi za ulinzi nchini
No comments:
Post a Comment