Mabasi hayo yenye yakiwa yamegongana. Basi moja ni la kampuni ya J4 Express likiwa na namba za usajili T677 CYC na jingine ni la kampuni ya Mwanza Coach likiwa na namba za usajili T376 AWJ.
Baadhi ya mashuhuda wakishuhudua ajali hiyo iliyotokea neo la Sabasaba mkoani Musoma na kuua watu zaidi 30 papo hapo leo mchana.
Uokoaji mwingine ukiendelea, ni baada ya gari aina ya Nissan Torano kusukumwa na moja ya mabasi hayo na kuzama mtoni.
No comments:
Post a Comment