Tuesday, October 28, 2014

AMKA NA PICHA HII--SIASA HAIKOSI VITUKO

Hapa ndipo tunapofikia hatua ya kusema kuwa ukipenda kitu unaweza kuwa kama mwenda wazimu,vijana wanne ambao juzi katika mkutano wa kusaini makubaliano ya ukawa katika viwanja vya jangwani walionekana vivutio baada ya kuingia wakiwa wamejichora miili yao na rangi za chama cha democrasia na maendeleo chadema na kuwaacha watu waliokuwa pale hoi kwa mshangao mkubwa .nimependa uamke kwa kuitizama picha hii mdau wangu 


No comments: