Kuna taarifa ambazo bado hazijawa na uhakika sana kuwa umoja wa katiba ya wananchi UKAWA kesho ndio siku ambayo watasaini makubaliano makubwa ya kusimamisha mgombea mmoja katika kila chaguzi zinazokuja mbeleni,habari hizi awali zilitangazwa na umoja huo wiki iliyopitya ambapo walisema kuwa tarehe 26 mwezi huu ndio siku ambayo watasaini makubaliano hayo japo hawakutaja mahali halisi ila walisema watasaini mbele ya watu katika mkutano mkubwa wa hadhara,taarifa zisizo rasmi zinasema kuwa mkutano huo ni kesho katika viwanja vya jangwani na utakuwa ukirushwa live na Television mbili za Tanzania ,bado hatujahakikisha hilo ila tunakuahidi kukupa ukweli wa taarifa hiyo na kama ni kweli basi tutakuletea tukio hilo kesho,ASANTEN |
No comments:
Post a Comment