Sunday, October 26, 2014

PICHA 14 ZA AWALI HISTORIA WANAYOWEKA UKAWA LEO VIWANJA VYA JANGWANI ZIKO HAPA


Watanzania wengi sana waliojitokeza hgapa katika viwanja vya jangwani wakitaka kushughudia tukio la kihistoria katika siasa za Tanzania ambapo inasemekana kuwa vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wanachi Tanzania UKAWA leo watasaini makubaliano rasmi ya kushirikiana katika chaguzi zote zinazokuja
Hapa nimekuwekea picha za awali za tukio hilo ambalo linaendelea hapa viwanja vya jangwani na litarushwa na ITV pamoja na vituo vingine vingi,
tutakuletea tukio nzima baadae hapa hapa mtu wangu














No comments: